sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Nawauliza nyinyi mnaolipwa mshahara kwa kuangalia ubora wa viwango. hivi wenzetu huko majumbani hamuwashi moto..? hata taa ya kandiri hamuwashi na mgao huu......? je mkiwa mnawasha mtujuvye wenzenu ubora wa vibiriti ndio huo unaotakiwa...? ama hivi ni vibiriti vya mchina ama ni vibiriti ambavyo vinatengenezwa hapa nchini...? niseme tu kuwa ubora wa vibiriti ni duni mnoo , kadhalika hata ujazo wake ni duni pia, TUNAHIMIZA MLIANGALIE NA HILO PIA , haiwezekani hela ngumu kupatikana , unanunua kibiriti ktk njiti kumi inawaka moja tu ndio nini...... hali ya kuwa SHIRIKA LA VIWANGI LIPO..?