TBS mko wapi.........?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,522
860
Nawauliza nyinyi mnaolipwa mshahara kwa kuangalia ubora wa viwango. hivi wenzetu huko majumbani hamuwashi moto..? hata taa ya kandiri hamuwashi na mgao huu......? je mkiwa mnawasha mtujuvye wenzenu ubora wa vibiriti ndio huo unaotakiwa...? ama hivi ni vibiriti vya mchina ama ni vibiriti ambavyo vinatengenezwa hapa nchini...? niseme tu kuwa ubora wa vibiriti ni duni mnoo , kadhalika hata ujazo wake ni duni pia, TUNAHIMIZA MLIANGALIE NA HILO PIA , haiwezekani hela ngumu kupatikana , unanunua kibiriti ktk njiti kumi inawaka moja tu ndio nini...... hali ya kuwa SHIRIKA LA VIWANGI LIPO..?
 
Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
268
Ndugu yangu umegusa penyewe! Yaani njiti zimepungua halafu hovyo kweli,unapiga njiti kumi inawaka moja. Huu ni wizi wa mchana kweupe! TBS wake up.Bidhaa mbovu zipo chungu nzima mkowapi? Mnafanya nini? Anhaa! Kumbeee! Mnakula mlumgulaaa!
 
Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
4,763
1,314
Nawauliza nyinyi mnaolipwa mshahara kwa kuangalia ubora wa viwango. hivi wenzetu huko majumbani hamuwashi moto..? hata taa ya kandiri hamuwashi na mgao huu......? je mkiwa mnawasha mtujuvye wenzenu ubora wa vibiriti ndio huo unaotakiwa...? ama hivi ni vibiriti vya mchina ama ni vibiriti ambavyo vinatengenezwa hapa nchini...? niseme tu kuwa ubora wa vibiriti ni duni mnoo , kadhalika hata ujazo wake ni duni pia, TUNAHIMIZA MLIANGALIE NA HILO PIA , haiwezekani hela ngumu kupatikana , unanunua kibiriti ktk njiti kumi inawaka moja tu ndio nini...... hali ya kuwa SHIRIKA LA VIWANGI LIPO..?

Mkuu kwa kweli tuangalie kama kweli hili shirika lenyewe lina KIWANGO cha kuwa shirika la Viwango,mambo mengi na ya wazi kabisa yanaonekana tunabaki tunajiuliza hawa TBS au walihamia Iraq ? Naamini TBS wanavyoviwango hata vya mabasi ya abiria, wakuu wangu hebu jaribu kusafirina mabaya haya ya KICHINA YUTONG,siti zimewekwa kwa ajili ya mbilikimo ndo zimeletwa TZ kusafirisha watz. Ni adhabu tosha kusafiri kwa mabasi haya Mengi ya hayo yana viti vya aina Hiyo. Nilisafiri kwenda mbeya, na YUTONG matatizo ya mabasi ni sawa na Yale niliyopata wakati nimeenda Ruvuma na basi pia YUTONG jamani hata kama mtaniambia sampuli ni ndogo lakini mateso ya mabasi hayo hayavumiliki,sijui kwa wale wanaosafiri mara kwa mara nawahurumia sana lakini kwa vile ni watz hatuna la kufanya zaidi ya kuendelea kuumia na kuandika JF.
 
Achahasira

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,213
211

matatizo gani mkuu?
 
Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
4,763
1,314
matatizo gani mkuu?

nafasi ya kukaa kati ya kiti na kiti,unaokaa kwenye siti hakuna nafasi ya kuweka miguu,miguu inagoti kwenye siti ya mbele yako,kuna mashindano ya kukaa siti za pembeni ili kupata nafasi ya kunyoosha miguu kwenye korido ya basi.Nilidhani nilipoandika yameundwa kwa ajili ya mbilikimo nitaeleweka samahani bro.
 
Achahasira

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,213
211
nafasi ya kukaa kati ya kiti na kiti,unaokaa kwenye siti hakuna nafasi ya kuweka miguu,miguu inagoti kwenye siti ya mbele yako,kuna mashindano ya kukaa siti za pembeni ili kupata nafasi ya kunyoosha miguu kwenye korido ya basi.Nilidhani nilipoandika yameundwa kwa ajili ya mbilikimo nitaeleweka samahani bro.

mkuu nimekupata,dah hii ata mimi ilinikuta yaani inaumiza miguu balaa.mi naona wananunua ma basi waliyo andaliwa wa china au nimekosea wakuu?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom