Yani licha ya wale kuchakachua konyagi na kufungwa Maisha Bado watu hawasikii.Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi
Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha
Jack Daniels fake ni nyingi mno na zinauzwa elf 30 wakati kawaida hii pombe inauzwa 150k
Mtanganyika akaikuta ipo cheap anachukua tu
Kwasasa usijidanganye kuingia bar na kuagiza pombe za nje na za gharama, maana hapa Nina uhakika 💯 utapewa copy yake, na utaifurahia ila baada ya miaka kadhaa figo zinaanza kufeli
Ni heri ukiagiza unywe local beer za bei ndogo, ambazo hizi ni ngumu Kwa wahuni kuzitoa copy
Magonjwa ya figo yamekuwa mengi Toka Kwa wale wenye uweZo maana huwa wanakunywa pombe za gharama copy
Ni bar chache mno watauza hizo Hennessy na jack Daniels originalView attachment 3390468View attachment 3390470
Watanzania matatizo mnayatatua kwa njia za ajabu kabisa. Badala ya vyombo husika kutatua tatizo, navyo vinatoa eti ''mwongozo'' kwa walaji. Wanalipwa fedha za nini? Anyways... kumbe ni CCM ndiyo inaongoza.Kupanga ni kuchagu tbs tra washatoa mwongozo jinsi ya kuscan kutambua kama fake au org kazi ni kwako na uvivu
Tbs inaongozwa na watu wapumbavu kuna tomato source za kutokea kenya ni mbovu zinatoa maji na povu zimejaa madukani ..ila expire date inasomeka ni nzima ila imesha oza kabisaPombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi