mirymicaiah605
Senior Member
- Apr 6, 2014
- 107
- 17
Hahahahaha
TBS shortlist ilikua imefanyika na majina kwa ajili ya interview yalikua yatoke soon watu hawakuwa wengi kama ilivyo sasa. ila baada ya sakata la Uhamiaji kilichofanyika sasa ni kwamba walichukuliwa watu woote walioomba na kuitwa kwenye hivyo written. ambao waliachwa ni wale ambao hawajakidhi vigezo vya waziwazi, hao wakawekwa kando ndio maana mnaona idadi ni kubwa.
Taarifa ya usaili ilitoka baada ya sakata la Uhamiaji kwa wenye kumbukumbu.
sasa wame hire kampuni itakayohusika na zoezi zima la kuajiri watu katika hizo nafasi TBS imejiweka pembeni. mitihani imeshaandaliwa maandalizi ya mwisho yakiwa yanafanyika huku kila paper kugongwa muhuri wa TBS kuepusha dhahama za aina yoyote....
NB: niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye interview kuanzia hiyo kesho hapo Yombo.
Mimi nimekosa qualification moja na wameniita mbona?
haihitajiki kunijua mimi, mlinzi wala mfagizi. we jiandae tu vizuri...
uliomba nafasi gani???
me nili apply kwa kutumia transcript na wameniita kwenye interviewqualification gani hauna???
me nili apply kwa kutumia transcript na wameniita kwenye interview
Mbona waislam hawapo ktk shortlist?
qualification gani hauna???
ni shidah jamani tupo yombo hall hapa tunasubiri hiyo pepa..nimeapply ass. accountant short list ni zaidi ya 1500 tunatakiwa 4
Namshukuru Mungu nimefanya pepa hiyo salama. kilicho baki ni maombi.
Ambapo sihitaj kumjua mtu ni Tanzania hii hii au?
Nliomba hr officer asee, ila uhakika wa kupata 0.09% kulingana na nafasi zilizopo ambazo ni 2 then waloitwa zaid ya 800
Mimi nimekosa qualification moja na wameniita mbona?
Mdada nipigie pande bac hapo TBS mana simjui hata mlinzi pale,doh!