TBS kimenuka interview

TBS kimenuka interview

Mitomingi8s

Senior Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
132
Reaction score
39
Haya wale waliomba tbs mambo yameiva twende tukapakue vitu majina kwa website yao
 
Tanzania Halisi unajuaje dini ya mtu kwa kuangalia majina? Au ktk hiyo short list yamewekwa majina na dini zao?
 
Anaeweza kutupia iyo list hapa,sim zingine azisom pdf

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Habari zenu wana jf?naomba kufahamishwa kuhusu muda wa usaili tbs,wametumia muda wa kiswahili ama kingereza,mfano;kada ya human resources officers muda ni 6-7.30 je wanamanisha sakum na mbil-mja na nusu ama sa6mchan-saba na nusu?naomba mnisaidie inanichanganya plz
 
Wadau hii inakera kama siyo kuchosha. Kwa vile TZ kuna uhaba wa ajira basi taasisi za serikali zimeona ni vema kuendelea kuwasumbua watanzania kwa kumuita kila muombaji wa kazi kufanya usaili.

Nimeshangazwa sana na TBS, nafasi ya watu 10 mnaitwa 752' mh kunahaja ya serkali kuziwajibisha taasis hizi. Nahisi hii ni kutokana na uvivu wa kiakili hadi mtu anashindwa kufanya uwiano sahihi.

Kwa harakaharkaa nafasi 1 inawaniwa na wahitaji 75. Hatakama ni usaili wa kuandika lakini inakatisha tamaa.
 
Inabid wote tusiende il wasipate watu,nachukia sana kuona hivo,hata utumishi pia wana tabia hyo nafasi 1 watu 280 sipend kabsa.sijui ma hr wana kazi gani sasa.nyambafu
 
Nendeni kwenye usaili acheni uoga. wote walioitwa wana sifa,
 
TBS shortlist ilikua imefanyika na majina kwa ajili ya interview yalikua yatoke soon watu hawakuwa wengi kama ilivyo sasa. ila baada ya sakata la Uhamiaji kilichofanyika sasa ni kwamba walichukuliwa watu woote walioomba na kuitwa kwenye hivyo written. ambao waliachwa ni wale ambao hawajakidhi vigezo vya waziwazi, hao wakawekwa kando ndio maana mnaona idadi ni kubwa.
Taarifa ya usaili ilitoka baada ya sakata la Uhamiaji kwa wenye kumbukumbu.

sasa wame hire kampuni itakayohusika na zoezi zima la kuajiri watu katika hizo nafasi TBS imejiweka pembeni. mitihani imeshaandaliwa maandalizi ya mwisho yakiwa yanafanyika huku kila paper kugongwa muhuri wa TBS kuepusha dhahama za aina yoyote....

NB: niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye interview kuanzia hiyo kesho hapo Yombo.
 
Mdada nipigie pande bac hapo TBS mana simjui hata mlinzi pale,doh!
 
Wadau hii inakera kama siyo kuchosha. Kwa vile TZ kuna uhaba wa ajira basi taasisi za serikali zimeona ni vema kuendelea kuwasumbua watanzania kwa kumuita kila muombaji wa kazi kufanya usaili.

Nimeshangazwa sana na TBS, nafasi ya watu 10 mnaitwa 752' mh kunahaja ya serkali kuziwajibisha taasis hizi. Nahisi hii ni kutokana na uvivu wa kiakili hadi mtu anashindwa kufanya uwiano sahihi.

Kwa harakaharkaa nafasi 1 inawaniwa na wahitaji 75. Hatakama ni usaili wa kuandika lakini inakatisha tamaa.
Kijana jiamini acha kuogopa wingi wa wasailiwa
 
Bro, wameku-shortlist? Kama jibu ni NDIYO basi NENDA kachukue kazi hiyo haraka sana. MARUFUKU kutoudhuria interview kisa eti wameita WENGI, wangeita WACHACHE may be WEWE ndio usingeenda.
 
Wadau hii inakera kama siyo kuchosha. Kwa vile TZ kuna uhaba wa ajira basi taasisi za serikali zimeona ni vema kuendelea kuwasumbua watanzania kwa kumuita kila muombaji wa kazi kufanya usaili.

Nimeshangazwa sana na TBS, nafasi ya watu 10 mnaitwa 752' mh kunahaja ya serkali kuziwajibisha taasis hizi. Nahisi hii ni kutokana na uvivu wa kiakili hadi mtu anashindwa kufanya uwiano sahihi.

Kwa harakaharkaa nafasi 1 inawaniwa na wahitaji 75. Hatakama ni usaili wa kuandika lakini inakatisha tamaa.

Mkuu unadhan msiponunua stamp, wafanyakazi wa posta watalipwa na nini?!
 
Back
Top Bottom