TBS inaendeshwa kwa majungu, tamaa ya vyeo na chuki binafsi zitawamaliza

TOM CAT

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
252
195
Nimekua nikifuatilia muendendo wa utendaji TBS tokea aondoke yule mzee jeuri Ekelege na nikaridhishwa sana na jinsi TBS ilivyokua ikiendeshwa bila kelele . Kabla ya hapo kila siku tulisikia madudu kila kona ndani ya TBS mpaka pale alipoondolewa Ekelege

Sasa kaondoka Ekelege, wafuasi wake wakaamua kumuandama mkurugenzi mpya kwa majungu mpaka amesimamishwa wakitegemea wao ndio watapewa vyeo. Mojawapo ya hao watu ni Mama Mtitu na baadhi ya wakurugenzi walio chini yake.

Tunapenda kuiomba serikali isikubali kuendeshwa na majungu, kwani watu sasa wameamua kulipizana visasi kwa kupiga majungu wenzao ili watumbuliwe hata kama hawana hatia. Tukienmdelea kusikiliza majungu hapo TBS kila siku wakurugenzi watakua wanabadilishwa kila siku hata kama hao akina mama Mtitu wakipewa ukurugenzi wajue kuna wengine nao watawapiga majungu na itakua pindua pindua kila siku

Hapo TBS hakuna mtu alie msafi wala salama, kuanzia cleaner mpaka wale wanaojidai walokole. Labda tu yule Mhasibu Mugonya ambae kidogo namuona kama ni mcha Mungu. Wendine wote wanapiga kwa staili zao, kuanzia bandarini mpaka mitaani. Kinachotakiwa ni kuacha majungu na mfanye kazi. Mkiendelea na haka kamchezo ka kupigana majungu sisi wapenda haki tutawatumbua vibaya mno kwani tuna data za wengi na mjue kua tuko wote hapa viungani Ubungo

Mumempiga majungu ya uzushi Mkurugenzi midhani mtapewa nyie ukurugenzi, sasa subirini tuwatumbue kuhusu zile hela mlizokua mkigawana na yule kijana wenu wa JAPAN pale mlipokua mnachakachua remitence miaka miwili kurudi nyuma na dili mnazopiga bandarini kwani ushahidi tunao wa kutosha kuwamaliza

Asante sana Waziri kwa kuamua kuleta Mkurugenzi wa muda kutoka nje kabisa ya TBS kwani hii itapunguza majungu ya kipuuzi yanayoendelea hapo TBS
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,046
2,000

YAANI KTK WATU WA AJABU NYIE NAMBARI WANI

YAANI MLISUBIRI MPAKA ATUMBULIWE NDIO MJIFANYE MNAMJUA MJAPANI KWELI....ASINGETUMBULIWA MNGEENDELEA KULA NAE STOP THAT RUBISH FOR GRT THINKERS PLS
 
TOM CAT

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
252
195
Shusha data hapa bdo itakuwa fact kiongozi ...we dare to talk openely
Kaeni mkao wa kula hao wakurugenzi wengi ni majipu hatari sana, kama serikali ikitaka kutenda haki basi ipangue safu yote iundwe upya. Bila kufanya hivyo majungu hayataisha hapa viungani
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,394
2,000
Hawajaanza kurogana? Ngoja nikomae tu na kilimo biashara ntatoka tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom