Tbl

Tbl

ALESIUS01

Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
7
Reaction score
3
Habari za usiku wapendwa, mm ni mwanafunzi na niko field hapa mbeya. Nimepata ugumu katika uandishi wa riport yangu hasa katika kupata organisation structure ya hii kampuni. nimejaribu kuitafuta mtandaoni kwenye about us imenikosa. hivyo anayejua organisation structure ya TBL naomba anisaidie kunitumia kwenye email hii; Alesiuskazunguru@yahoo.com au mnisaidieni jinsi ya kupata prospectus ya TBL
 
Acha uvivu wewe kama upo mbeya panda gari za kwenda mbalizi waambie wakushushe iyunga,hapo kodi podaboda watakupeka kiwanda kwa tsh 1000 tu.
 
Back
Top Bottom