star tv hAtimaye wameongeza signal sasa ni kama zile za mengi
...tbc 1 ndo mdudu gani huyo..? ana miguu minne ...nane..?
Azam tv unawapataje?mimi natumia AzamTV, TBC nilishafuta kabisa
mimi natumia AzamTV, TBC nilishafuta kabisa
Utamjuwa tu world cup ikianza mwakani.