Tbc1 yarejea

Tbc1 yarejea

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,861
Reaction score
828
Baada ya usumbufu wa muda mrefu wa kuipata tbc1,sasa ipo live bila chenga.unachotakiwa kufanya ni kuingiza frequeny 3892-v-3072.huna haja ya kuuchekecha ungo wako kama unazinasa chanel zingine kama itv,eatv,startv nk.asante kwa kunielewa
 
Thanks for information.
 
Thanx bro. kwa taarifa, na Star Tv vipi? nayo ilihama muda sawa na TBC, huna taarifa nao?

Baada ya usumbufu wa muda mrefu wa kuipata tbc1,sasa ipo live bila chenga.unachotakiwa kufanya ni kuingiza frequeny 3892-v-3072.huna haja ya kuuchekecha ungo wako kama unazinasa chanel zingine kama itv,eatv,startv nk.asante kwa kunielewa
 
TBC1 waliingia mkataba wa kibeberu wa kurusha katika low frequeny labda wawe wamerekebisha mikataba yao. Kwa hiyo tatizo lilikuwa ni mkataba na siyo mitambo yao.
 
Mkuu mbona ukiweka VERT inasema weak signal na ukiweka HOR inacrable.
 
Ngoja Bunge lianze, wanasepa tena. Hawataki tuone Serikali na wabunge wake wanavyopelekwa mbio na Makamanda na wale waliojifunga mabomu kama akina Filikunjombe!
 
Baada ya usumbufu wa muda mrefu wa kuipata tbc1,sasa ipo live bila chenga.unachotakiwa kufanya ni kuingiza frequeny 3892-v-3072.huna haja ya kuuchekecha ungo wako kama unazinasa chanel zingine kama itv,eatv,startv nk.asante kwa kunielewa

Mbona bado ukiingiza hiyo frequency ina fail.
 
Imerejea lakini ubora ni dhaifu sana inakatikakatika na ina scratch kama cd mbovu.
 
mbona star tv ipo 3885v4899 hewani sema inategemea na receiver mfano mimi natumia gulf star naipata kwa signal nzuri
 
star tv hAtimaye wameongeza signal sasa ni kama zile za mengi
 
True kabisa mimi natumia mediacom receiver signal zimetulia kabisa kwa startv
 
...tbc 1 ndo mdudu gani huyo..? ana miguu minne ...nane..?
 
vipi kwa TBC,?nina wiki kama nne siipati kupitia hiyo mediacom receiver.

kwa tbc1 sijaweka hizo frequency mpya sababu remote yake imeharibika so niko katika harakati za kujaribu kama zitaleta signal
 
Kumbe kuna watu bado wanaangali hii kitu...aisee....
 
Back
Top Bottom