TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,178
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?

Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?

Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?

Kwanini Dr. Slaa?

Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?

Naomba kuwasilisha:
 
Hiyo ndo risasi ya mwisho ya CCM wameishiwa hoja. Wanadhani wanawaharibia UKAWA kumbe wanawasafishia njia.
 
Hivi muda huu saa 5 usiku Tbc (Tv) wanairudia hotuba ya Dr Slaa ya jana .

Jana hiyohiyo mbali ya kumuonesha live na usiku waliirudia hotuba hiyo .
Tbc ambao ni chombo cha Ccm wamegeuza hotuba hiyo mtaji.

Zingatio hapa ni ambavyo Wana Ukawa leo wameanza kujibu mapigo ya Dr , akiwemo pia Rostam Aziz (si mwana Ukawa) nae amemtaka Dr athibitishe madai yake dhidi yake kuhusu kumtishia kifo .
Lakini yote hayo Tbc hawajayatangaza kwenye chombo chao .
 
dk alikuwa mstari wa mbele kuipinga tbc1 kwa upendeleo wao kipindi cha miaka yote mitano hadi leo 2015. kama mtu ana akili sawa sawa ameshajua dk slaa yuko upande gani katika uchaguzi huu
 
Wewe naye.Hata picha inashindikana kuiona!!!
 
Huo ndio uthibitisho tosha katumwa na akinanani
Kwenye Ukweli uongo ujitenga
Kura Lowassa
 
Nazidi pata hasira nikiiskia natakani sana Octoba ifike na Novemba niuone tena huu mfumo.
 
Kwani kama amelipia kuna ubaya gani?wengine hawakupata nafasi jana,kuna kipi cha kufichwa
 
Huo ndio uthibitisho tosha katumwa na akinanani
Kwenye Ukweli uongo ujitenga
Kura Lowassa

Mbona ya pale jangwani yalirudiwa na ITV ,na azam pia wamerudia leo hiyo ya dr ,kwani ni vibaya MSHENGA ili tuweze kutafakari vizuri sis wengine tuliikosa MSHENGA
 
Wamelipia LOWASA NA SUMAYE HAWAKULIPIA...isitoshe cloudz wanavipind mida hii...ikiwa huna king'amuzi weka CD uangalie nyimbo tu
 
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?

Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?

Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?

Kwanini Dr. Slaa?

Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?

Naomba kuwasilisha:

We pressure yanini wakati mnasema hata kama ni fisadi mtamchagua hivyo hivyo,acha wananchi watambue vizur ni kivipi anaitwa fisadi kisha wakamchague hivyohivyo,wacha dr afumbue watu macho we tulia malalamiko ya nini!
 
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?

Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?

Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?

Kwanini Dr. Slaa?

Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?

Naomba kuwasilisha:
Maombi ya watanzania kuwa kipindi kirudiwe ili wachambue mbivu na mbichi bila kuacha hata chembe!!
Watanzania wengi sio wajinga kama wachache (nyie). Watanzania wamefumbuliwa macho na Dr. Slaa.
 
dk alikuwa mstari wa mbele kuipinga tbc1 kwa upendeleo wao kipindi cha miaka yote mitano hadi leo 2015. kama mtu ana akili sawa sawa ameshajua dk slaa yuko upande gani katika uchaguzi huu

Mwigulu nchemba amempa mkwanja mrefu pia membe huku Mwakyembe akitumiwa kufikisha mzigo na kumfundisha namna ya kudanganya na kuwahadaa watu.
 
Back
Top Bottom