TBC1 wana matatizo gani leo?

TBC1 wana matatizo gani leo?

Morigo

Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
35
Reaction score
4
Wadau Mimi natumia Dstv na tangia asubuhi TBC 1 haina Saudi
Sasa sielewi ni hujuma nisisikie Escrow au la?
 
yaan hii TBC ckuhz uhalo mtupu tena ushuzi kabisaaa, hata mm asubuh kabla cjaja kazin nime-tune lkn nikashangaa no saut
 
Mkuu mimi nilijua ni tatizo la runinga yangu. Nimehamia dialotv naona iko ok kabisa.
 
Mkuu naangalia kutumia cable inayo sauti nadhani ni hitirafu kwako.
 
tbc ipo hewani mkuu.na bungen yupo mwenyekiti zungu
 
Back
Top Bottom