Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Njaa tu inakusumbua, kwa hesabu zako hiyo perdiem ya siku 3 unafikiri inaweza kufika Tsh ngapi?
hawa wezi.mchapakazi walimfukuza (tido)Hata kama haitoshi, naamini wameenda kutalii. Ikiwa kama ufanisi, ikilinganishwa na gharama, ni sawa na sifuri, je tusemeje?
wakati uchaguzi wa hapa kwetu hawaonyeshiMi nashangaa hata ule uchaguzi wa Marekani, Suzan Mungi huwa anajipigia pande kwenda, wakati picha wanazoonyesha zimerekodiwa CNN au BBC. Sa kuna umuhimu gani wa kujilipa kodi zetu wakati wangeweza kurekodi hapahapa?
hata kama walitumia buku wametumia pesa ya walipakodi bila ufanisiHata kama haitoshi, naamini wameenda kutalii. Ikiwa kama ufanisi, ikilinganishwa na gharama, ni sawa na sifuri, je tusemeje?
ujawahi kusikia wizi wa kuku anafungwa?Njaa tu inakusumbua, kwa hesabu zako hiyo perdiem ya siku 3 unafikiri inaweza kufika Tsh ngapi?
Njaa tu inakusumbua, kwa hesabu zako hiyo perdiem ya siku 3 unafikiri inaweza kufika Tsh ngapi?
Hakuna cha njaa wala nini Tbc iliweka kambi toka muda ila wewe ni punguani na mjinga wa upeo