Tbc1 na tbc taifa haiskiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc1 na tbc taifa haiskiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by siyenda, Feb 4, 2011.

 1. s

  siyenda Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndg wanajamvi nimeishi ktk mkoa wa kigoma katika wilaya ya kibondo na kasulu takribani kwa miaka minne lakini hizi station za taifa hazisikiki huku na afadhali tbc1 wale wenye satelite dish wanaona lakini tbc taifa haiskiki kabisa.ile dhana ya kuwa ni chombo cha habari cha wananchi iko wapi?kuna aina fulani ya redio inaitwa redio KWIZERA ambayo inasikika inatangaza kutoka NGARA,haina vipindi vyenye kuelimisha,hata wanaoitwa kwenye mijadala kama vile hawana uelewa wa mada husika hivyo kushindwa kudadavua vilivyo na kufanya wananchi washindwe kuelewa kinachojadiliwa.Wenye vyombo habari leteni booster zenu kwenye wilaya hizi ili nao wananchi wa huku waenjoy uhuru wa kupata habari.NAOMBA KUWASILISHA.
   
Loading...