kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 177
Jana walionyesha Mkutano wa Monika Mbega Iringa Mjini, 60% ya adhira yake ilikuwa watoto.:smile-big: Ambao hawatapiga kura.
pia kama umegundua wanatafuta maeneo yaliyojaa sana ndo wanapiga hapo, sehemu za ccm
zilizodolola wala hawazioneshi kama kule Dr Bilal alipokosa watu, mimi nashauri watanzania waihame
hii TV Station, ITV wanajitahidi sana ukilinganisha na wengine wote, tuwe twaangalia taarifa ya
habari ITV.....
Bado hujagundua ndugu yangu? Angalia kirefu cha TBC!
T - Tanzania
B - Bila
C - CCM
"HAIWEZEKANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII"
Hiyo ni kauli mbiu ya TBC.
Mimi nilishakataza familia yangu kuangalia TBC ata kama,sitaki kusikia ze comedy wala kitu gani.Ushaona wapi wafanyakazi Tanzania/Africa watu wanaacha kazi sector binafsi wanakimbilia serikalini kwa kasi hivyo kama sio kutaka kunyong'onyesha vyombo binafsi vinavyopiga kelele kuhusu ufisadi.
TBC wanakumbatia mafisadi.Lakini mwisho wao umefika ngojea november Dk.Slaa ahapishwe.
Kuna mtu anaitwa Makwaia wa Kuhenga anadai TBC haina upendeleo wa namna yoyote - watu wengine sijui wanakuwa wamelewa masaa 24 kwa siku !