TBC1 na live coverage ya Uchaguzi wa Marekani

Nina miaka kama sio 7 basi 8,sijasikiliza wala kuangalia hiyo redio wala TV yao,mambo yao mengi huwa nayasoma humu.
Sisi tunaangalia kama kawaida. Vipi watangazaji wote wa itv wakihamia tbc je utaingalia?
 
Mnapiga kelele kuhusu tbc, ila mnajifungia na kuiangalia na kuzuga salio limekata, zima kalale.
 

Mkuu ongeza salio king'amuzi uendelee kumfaidi Charles Hilal ndani ya Azam Two. Jamaa taarifa yao ya habari iko international level kabisa. Na ijumaa hii Charles Hilal atareport kutoka US kufatilia uchaguzi wao.
 
Mweee! Ndio maana TBC kimekuwa kituo cha mwisho kwa wingi wa watazamaji! Yani sipati picha TBC inazidiwa hadi na kaTV kama Abood Television!
 
Mweee! Ndio maana TBC kimekuwa kituo cha mwisho kwa wingi wa watazamaji! Yani sipati picha TBC inazidiwa hadi na kaTV kama Abood Television!
Yani hadi makada wenyewe hawaitazami hii TV ujue ni jinsi gani inapoteza bure hela za walipa kodi
 
In few months to Come star times company ita-collapse,waliwauzia watanzania vingamuzi na kuwaambia local channels zitakuwa bure,ghafla (baada ya kinyemele kuzuia bunge live) na kingamuzi wakazima free channels kuanzia 1-6-2016 na kubakiza TBC na zile channels za Majaribio!
Hii inepelekea watu wengi kutolipia kabisa.

Pili na hii ndio sababu kubwa,TBC imekuwa one sided media,ikionyesha na kusifu habari za upande mmoja,hata hao wenye huo mrengo hawaiangalii.
 
Upo sahihi mkuu,hata wale jamaa wa kaunda suti nyeusi huwezi kuta wanaangalia tbsii!
ITV hata kama huipendi utaiangalia tu maana wana news za kila namna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…