KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa,tbc wamebadilisha masafa yao kwa tangazo walilolitoa juzi ila sikubahatika kuzipata hizo frq maana nilipata tangazo linamalizika hivyo kama kuna aliyebahatika kuzipata ninaomba msaada wake.