TBC1 na Channel Ten vituo vya TV vinavyoongoza kwa ufanisi

Mundamushimu

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
752
432
Pokeeni salamu moja kwa moja kwenye mada. Ni hakika hakuna vituo vyenye wafanyakazi wenye ubunifu wa vipindi bora kama TBC 1 na Channel Ten, nawapongeza sana, endeleeni hivyo hivyo na hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais.

Povu ruksa.
 
1.TBC hata kimitambo sio sawa sababu mala nyingi inakuja na saut upande mmja
2 mtoa mada unaumli miaka mingapi
3 unawatoto au family!?

kelphin kepph
 
Hakika nivituo bora sana hasa kile kipindi cha mshindo wa miaka 4 ya Rais JPM,kinanifanya ni tafakari sana na hali halisi ya mtaani wanyonge tunavyo kula mboga za majani kama mbuzi
Ni vituo bora kweli mlo wa mboga za majani nakushauri ongeza bidii ya kazi tu ili upate na huo mlo unaoufikiria
 
Back
Top Bottom