Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Muda huu natazama TBC1 na hewani kipo kipindi cha Sports Family kinachoongozwa na maggid mjengwa. Maggid yupo na mgeni wake aitwae Victor. Kipindi hiki kinatangaza na kuonyesha habari zilizopitwa na wakati. Kwa mfano,kinazungumzia maandalizi ya mechi kati ya Simba na Azam ya ligi kuu Tanzania Bara!
Cha kusikitisha,hakuna alama ya kutambulisha kuwa kipindi ni marudio au la. Huu ni upotoshaji na kubaki nyuma. Kama TBC1 imekatazwa kuonyesha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge,isipotoshe watu kwa kipindi au matangazo yaliyopitwa na wakati.
Kama kituo cha kitaifa cha runinga,kinapaswa kuwa serious. Nimesikitishwa sana na jambo hili la kuonyesha habari ambazo ni outdated!