Nenda pale makao makuu yao mbele kidogo na ITV njia ya mwenge kama upo Dar, hilo ni tatizo la hiyo machine na inaghalimu kama 15,000 hivi kusolve tatizo..
Wadau nina mwezi wa tatu sasa napata channel ya TBC1 lakini haina sauti hata kidogo, nimejaribu lakini nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa sipati huduma yyte ya TBC1 isipokuwa TBC2 najipanga kuhamia continental.
Ila naomba msaada kwanza namna ya ku solve hii issue.
NATUMIA STAR TIMES...