TBC1 haina sauti kupitia Star times

TBC1 haina sauti kupitia Star times

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wadau nina mwezi wa tatu sasa napata channel ya TBC1 lakini haina sauti hata kidogo, nimejaribu lakini nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa sipati huduma yyte ya TBC1 isipokuwa TBC2 najipanga kuhamia continental.

Ila naomba msaada kwanza namna ya ku solve hii issue.
NATUMIA STAR TIMES...
 
Nenda pale makao makuu yao mbele kidogo na ITV njia ya mwenge kama upo Dar, hilo ni tatizo la hiyo machine na inaghalimu kama 15,000 hivi kusolve tatizo..
 
Nenda pale makao makuu yao mbele kidogo na ITV njia ya mwenge kama upo Dar, hilo ni tatizo la hiyo machine na inaghalimu kama 15,000 hivi kusolve tatizo..

Asante mkuu kwa directive nzuri sa hivi hili swala ni TBC tuu au na ving"amuzi vingine? yaani kweli nitoe tena 15000/=? DOOOOOOO
SITAWEZA NIPO RADHI KUIKOSA TBC.....after looooh.....

asante kwa msaada wa mawazo......
 
Hata mimi ninatatizo km hilo,Natumia star Times

kaka tuachane na ma tbc haya..kuna watu watatushangaa humu wao walishaacha kufuatilia tbc tangu zamani........hahahahahahahahahaah..................
 
Hata mimi nilikuwa na tatizo hilo nikasolve ni Rahisi, nenda kwenye remote yako bonyeza kitufe kilichoandikwa TRACK then itakuja audio setting ,kisha unachagua AUDIO TRUCK Then unabonyeza LEFT kisha okey .Tatizo linakuwa limekwisha.
 
Wadau nina mwezi wa tatu sasa napata channel ya TBC1 lakini haina sauti hata kidogo, nimejaribu lakini nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa sipati huduma yyte ya TBC1 isipokuwa TBC2 najipanga kuhamia continental.

Ila naomba msaada kwanza namna ya ku solve hii issue.
NATUMIA STAR TIMES...

kwenye remote control ya startimes juu kulia kuna button imeandikwa TRACK, bonyeza hiyo then utaona maneno ma 3, mkono wa kulia eg left kwani nipo mbali na tv, anza kuchagua moja baada ya jingine itakubali. ukishindwa rudi kama nitakuwa karibu na tv nitakuelekeza.
 
Hata mm,kama ivyo..ila kumbe unaweza ukaliwa ivivi tu,jmaa anadai ukipeleka wapi sijui.gharama 15000:
ahsanteni mnaotupa elimu bure..kumbe mijizi hadi humu imo. Duu?
Ni mtizamo tuu
 
Wana JF safi sana, mimi nataumia kingamuzi cha DST, nisaidie jinsi ya kumovearound kwenye remote hii ya DST nipat sauti.
 
Namimi nilikuwa natatizo hilo nimelitatua km inawezekana saa 2:30 usiku nitakuwa nyumbani nitakueleza chakufanya ukiwa na Remoti ya startimes.kuna njia mbili ukishidwa yakwanza nitakuambia yapili
 
Bora hata iwe hiyo TBC make ingekua ni ile TV ya mzee machache ndo inazingua ungemsikia akilalamika kuwa anahujumiwa... huku akisindikizwa na sapoti za wale watoto wa ufipa na kibosho.
 
Back
Top Bottom