Kweli kabisa kama ni vyanzo watafute vingine sio KAMARI. Inasikitisha sana ni nini wanacho jenga kwa watoto wetu. Pengine ni management problem kama jamaa alivyosema hapo awali.
Shapu!
I tend to agree with you guys!! Tatizo kubwa la TBCI hawakupewa hadidu za rejea as usual hapa Tanzania unamteua mtu kuwa Waziri/Mkuu wa Mkoa na humpatii Job description!! Tido Mhando kapewa bila mwongozo period!! Ile ni zawadi ya kumpamba JMK alipokuwa BBC!!
Hatukuwa na TV ya Taifa kwa zaidi ya miaka arobaini ya Uhuru leo hii unaanzisha National TV ukiwa na akili timamu unawaambia wajiendeshe kibiashara that is the end ya kuwa TV ya Taifa! Why do you go to WIZARA ya Habari kuomba ruzuku!
Wanosema ni TV ya CCM wako sahihi kwa jinsi wanavyoonyesha kibabe!! wanagombea rights kwa style ya ITV, CTN na Channel ten growth and coverage na Brand hawana habari nayo fine!! Nimeacha kuiangalia japo yaendeshwa na pesa za walipa kodi I just go for Pay TV ya DSTV japo twalanguliwa KICHIZI we pay more than twice rates za RSA na TACRA kalala usingizi wa pono!