Wakuu, mbona mnaongelea kitu ambacho hamna uhakika nacho? Ni bora tukafanya subira ili tupate ukweli juu ya nini kimetokea. Kwani ni haki ya wananchi kupata matangazo ya bunge. Wabunge tumewachagua kwa kura zetu na hivyo ni vyema tukatumia muda huu wa bunge kupima uwezo wao ili tuamua kama 2015 tuwe nao tena au tuchague wengine wanaotuwakilisha vizuri
Mkuu, heri ya wewe angalau umependekeza jambo la maana. Ninaamini tuna wabunge wanachama wa jf. Watumie muda huu wakati bunge haliko live kutujuvya kinachoendelea badala ya kukimbilia kuomba miongozo na wengine kulalaInasikitisha sana Watanzania hatuna uhuru na vyombo vyetu vya umma ila vinatumiwa na watu wachache kwa maslai yao. waliopo bungeni watujuze yayoondelea huko
Wamesema kuwa kwa sasa hawatajiunga bungeni dodoma kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao. Watatujulisha zaidi hapo baadaye. Tusubiri. Naamini TBC wanalipwa pesa za walipa kodi kutokana na matangazo yao. So wana haki ya kutujulisha sisi walipa kodi ni nini kinaendeleaMkuu, tusubiri nini tena wakati matangazo ndo ivo tena yeshakatwa? Wangekuwa waungwana kama wangetoa sababu basi, sasa unaambiwa mtangazaji kasema tu hawatajiunga Dom bila kutoa sababu. Wewe unaona bado wana maana hao?
Sure mkuu.Labda kuna tatizo la kifundi tusilaum mojo kwa moja .
Du, kweli wewe si great thinker. Ndo maana tangia 2012 mpaka sasa bado ni junior member humu jfBila shaka maswali ya papo kwa papo leo hii yangelenga sana mlipuko na uchakataji wa matokeo ya kidato cha 4 2012. TBC wamepigwa pini kurusha live. Hii ndo bongo bana.
Mkuu, nadani tungewasiliana na mnyika au zitto ambao naamini kwa sasa wako onlineDr.F.Ndugulile naamini uko bungeni,kulikoni tena?au na wewe unaogopa kukisaliti chama chako?najua wengi mko huko CCM kwa njaa tu ila mioyo yenu iko CHADEMA!
Tiger, acha kupotosha. Tangazo lipo kama nilivyoliweka hapo juuSamahani watazamaji na wasikilizaji wetu tuko kwenye shamrashamra utiliaji saini mkataba wa ushirikiano na Radio Uhuru chini ya mkurugenzi mmoja hapa Rumumba, tutarejea mara tu baada ya shuguli hii.
Ahsante na poleni kwa usumbufu!!
TBC kwasasa wana mkurugenzi msikivu. Na lazima ajifunza yaliyomtokea Tido Muhando, haiwezekani kabisa Viongozi wanakuambia achana na Midaharo weka Ze commedy wananchi wafurahie wewe unang'ang'ania Midaharo tu.
Mkuu, hawana lolote. Wanaangalia sana hasa kipindi cha original komedy na bungecdm mlilisusia kutazama tbc