Deogratius B shayo
Member
- Feb 7, 2012
- 55
- 10
TBC ni televisheni ya chama au? habari zao kukweza chama tu, au ndio hivyo ukiropoti ukweli unatimuliwa kazi?
Nammiss kweli tido mhando! Siku hizi tbc sio ya ukweli na si ya uhakika.
Waandishi wahabari wazuiwa kuingia hospitalini kutafuta habari kuhusu mgomo wa madaktari