TBC wanaomboleza kifo cha Malkia Elizabeth

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wakuu hii imekaaje, niko natazama Televisheni ya Taifa hapa naona ni nyimbo za maombolezo tu.

Hivi kweli msiba huu unatuhusu kwa kiwango hiki au bendera kupepea nusu mlingoti ingetosha tu?
FB_IMG_1662779905616.jpg
 
Ikumbuke Tanzania ni iliyo chini ya Commonwealth, tunapata faida nyingi kupitia humo.
Hivyo kuna matakwa yanatekelezwa lakin pia tunainterest na kitu in return.
So tuangalieni tu no way out, after all tutapata faida
 
Hivi mkuu hawa watu walikuwa watawala wetu kwa kupenda kwetu?

Wanastahili heshima gani? Ebu acheni uboya wenu!
Unahisi mtu mweusi pekee ndio alitawaliwa?? Kama hujui MALKIA WA UINGEREZA ALIKUWA NI MKUU WA NCHI ZIFUATAZO HAPA DUNIANI.

SCOTLAND
IRELAND
WALES
ENGLAND
AUSTRALIA
CANADA
NEW ZEALAND
JAMAICA
TUVALU.

Hadi leo hii huyo Mfalme CHARLES III ni mkuu wa hizo nchi zote.

Kwahiyo akili zako za kijinga ulihisi mliotawaliwa mlikuwa watu weusi tupu basi achana nazo. Na kama hujui zaidi race ya watu weusi ndio yenye watu wachache zaidi Duniani.
 
Umenijibu upupu tu mkuu afu inaonekana una kutu kwenye ubongo wako, nmekuuliza huyo malkia alitutawala kwa mapenzi yetu? Kuna haja gani ya kumpa heshima hii, unanletea mboyoyo za Tuvalu...
 
Umenijibu upupu tu mkuu afu inaonekana una kutu kwenye ubongo wako, nmekuuliza huyo malkia alitutawala kwa mapenzi yetu? Kuna haja gani ya kumpa heshima hii, unanletea mboyoyo za Tuvalu...
Ndio, kwa mapenzi yetu au hujui? Kwani huyo Nyerere unahisi alitutawala kwa mapenzi yetu pia?? Unahisi hakukuwa na watu smart zaidi ya Nyerere kwa akili zako wewe??
 
Wakuu hii imekaaje, niko natazama Televisheni ya Taifa hapa naona ni nyimbo za maombolezo tu.

Hivi kweli msiba huu unatuhusu kwa kiwango hiki au bendera kupepea nusu mlingoti ingetosha tu?View attachment 2352301
tbc hawana content za maana zinazoweza kumvutia mtu atazame tv yao.

kwao msiba wa bibi eliza ni content kubwa sana, wameona inaweza kuwasaidia ku generate viewers.
 
Back
Top Bottom