THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Mchungaji Mtikila alishawahi kupata misukosuko wakati fulani kwa kusema "nchi yetu iliwahi kuongozwa na rais kutoka nchi jirani ya Zanzibar". Leo katika kipindi cha NYUMBA YA JIRANI kinachorushwa na TBC wameturushia habari kutoka Rwanda na Zanzibar.Hivi TBC kama tv ya taifa ni sahihi kuiweka Zanzibar kwenye kundi la majirani?