Hivi hii sehemu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya kuitambua Jamhuri inayosema "Tanzania ni nchi moja na ni jamhuri ya muungano,sehemu ya jamhuri ya muungano ni Tanzania bara na Tanzania visiwani na sehemu ya bahari inayoizunguka" imefutwa?Hata mimi naamini Zanzibar ni nchi jirani, ushahidi huu hapa, wane rais, wanayo katiba yao na wanalo Bunge, sasa hapo mnataka tbccm wasemeje? Imesemwa hivi na wahenga, ukiwa Muongo jitahidi kua na kumbukumbu.