Kitendo pekee cha kuandaa na kurusha hewani kipindi hiki cha propaganda ni ishara tosha kuwa wana hofu na impact ya kifo cha Mwangosi na mfululizo wa matukio yaliyopelekea kifo hicho, nguvu ya umma. Soon hawatakuwa na muda wa kutengeneza vipindi vingine bali watakuwa full time occupied na kuandaa vipindi vya propaganda. M4C ongezeni mwendo.