Haaaaaa wanaogopa kama ya jana
Wanaogopa aibu, leo zitapigwa vibaya lakini muswada haupiti!!
Au leo ijumaa wamepitiliza home baada ya kutoka salaWameweka mziki ngoja tu tutakutana October.
tuambie wewe uliyeko huko, bunge linaendelea ama ni vipi?
Nadhani litakuwa limeahirishwa tena kwani hata channel ya starbunge-tz, nao hawaonyeshi, walianza kuonyesha mwanzoni kidogo ikaoneka na hadi saa 10.5,ukumbi wa bunge ulikuwa tupu!!! sijui kuna nini kimetokea