View attachment 100435ukweli na uhakika unageuka kuwa uongo na kutoaminika!
View attachment 100435ukweli na uhakika unageuka kuwa uongo na kutoaminika!
hahahhaaaaa hii nimeipenda sana sana, lazima ionwe na wengine pia, tafadhali mods ifanyeni iwe STICKY bhana hatuwezi kuvumilia upuuzi kama huu kwenye dhifa kubwa hivi, Rais analaumiwa kwa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu huku nako kuko hivi, No way lazima tuwajibishane bhana. Kama unataka picha na topic iwe sticky kindly LIKE ze thread
CC: Mohamedi Mtoi MANI zumbemkuu na wale wazee wa ma-photo ya ajabu ajabu wachukue na hii akina saudari sosoliso
Mkuu sosoliso hebu nisaidie hili swali langu, "Hivi ni kawaida kuifanya ya kwanza kupiga nyimbo ya taifa ya mgeni aliyekuja kutembelea nchi yako(mfano Rais) huku tukiifanya nyimbo ya taifa letu kuwa nyimbo ya mwisho kuipiga?"Mpwa Elli hii ni aibu ya mwenye mbwa.. Weledi ulishaondoka pale TBC walipomuondoa Tiddo na kumpa Mshana uongozi..
Ndio mambo ya tanzania, inmcopetence everywhereNikajua tz imepinduliwa
Mkuu sosoliso hebu nisaidie hili swali langu, "Hivi ni kawaida kuifanya ya kwanza kupiga nyimbo ya taifa ya mgeni aliyekuja kutembelea nchi yako(mfano Rais) huku tukiifanya nyimbo ya taifa letu kuwa nyimbo ya mwisho kuipiga?"
Hii nimeiona jana katika kumpokea Obama, ilianza nyimbo ya taifa ya Marekani halafu ikafuata nyimbo ya Tz.
Nikajua tz imepinduliwa