Tbc ukweli na uhakika

Ha ha ha,hawana umakini katika kazi
 
lol...mnawababaikia mpaka madaraka ya nchi mmeyakabidhi kwa mpitanjia
 
hahahhaaaaa hii nimeipenda sana sana, lazima ionwe na wengine pia, tafadhali mods ifanyeni iwe STICKY bhana hatuwezi kuvumilia upuuzi kama huu kwenye dhifa kubwa hivi, Rais analaumiwa kwa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu huku nako kuko hivi, No way lazima tuwajibishane bhana. Kama unataka picha na topic iwe sticky kindly LIKE ze thread

CC: Mohamedi Mtoi MANI zumbemkuu na wale wazee wa ma-photo ya ajabu ajabu wachukue na hii akina saudari sosoliso
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha vitu vingine hata sio vya kucheka lakini inabidi kucheka tu
 
Aisee!
Jana kuna thread ilipandishwa inayoponda jinsi TBC1 walivyotoa makala ya Uwongo kuhusu Air Force One, Mods wakaifuta!
Ni hawa hawa TBC walitangaza kuwa ndege ya Obama ina uwezo wa kuhamisha abiria toka kwenye Airfoce One na kuwahamishia ndege nyingine ikiwa angani, bila abiria kujua chochote, na wanakuja kustuka wanaposhuka wanakuta registration ya namba ni tofauti na ile waliyoanza nayo!....utoto.
 
Pia walisema kuwa Obama huwa analindwa na Viumbe wanaotoka sayari nyingine wanaoitwa "Alliens" na wakaonyesha na picha za ma'zombie ambayo ndio wanayaita alliens!
Hiyo ndiyo TBC bana!
 
Hata Dada Dyauli kabla ys kujiunga na mapokezi airport alisema "RAIS OBAMA WA TANZANIA......"na hakugundua na kuomba radhi.
 
Kosa lililofanywa na TBC ni kumuondoa Tido Mhando kwa sababu za kisiasa. sasa wamefika hapa na wanakoelekea ni kubaya zaidi.
 
Mpwa Elli hii ni aibu ya mwenye mbwa.. Weledi ulishaondoka pale TBC walipomuondoa Tiddo na kumpa Mshana uongozi..
 
Last edited by a moderator:
ni jana tu kuna uzi uliongelea jins tbc walivohawana umakini wamejidhihirisha mchana kweupe
 
Coverage yao ni mbovu..low quality...pia wanachotangaza mara nyingine ni stori za kitaa tu..mfano walivyokuwa wana dadavua ndege ya Obama na ziara yake...ushamba mtupu! Kazi kwelikweli
 
Labda inawezekana kwa CCM hasa ukizingatia yule Mbunge wao anayejiita Ze Profesori Maji Marefu
 
niliangali pia jana walipokuwaq wakisema kuwa urefu wa airforce One ni sawa na ghorofa sita, nilisita kisikiliza lakini akili ikawa inanituma kuangalia usawa wa ngazi waliyoweka Obama kushukia na jengo la jirani. Ndio nikajua kuwa Mh. Mbatia alikuwa na hoja aliposema vitabu vyenya 'wrong facts' vitiwe moto japo sikujua kama na ndani ya TBC wapo wanaoziamini moja kwa moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…