Tbc turudisheni Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc turudisheni Dodoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KELVIN GASPER, Nov 19, 2011.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Wameacha kuripoti kinachojiri dodoma kwa ni zamu ya wabunge wa upinzani waanza kuchangia. hii ni nini jamani kwa chombo hiki kinachoendeshwa kwa kodi zetu?
   
 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wanasubili Wenj AMALIZE
   
 3. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  sikiliza 106.5 F.M
   
 4. b

  bpouz Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tbc wanawashwa na kitu kny hoja za msing wanapeperusha stimu sana wanakata lkn kny taarifa mwanzo mwisho
   
 5. m

  mob JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  inaniuma sana pindi kodi zetu sisi watanzania tusiokuwa na chama inavyotumika kwa manufaa ya chama kimoja oma chama kingine.ni vizuri viongozi wachache tuliowapa dhamana ya kusimamia nchi yetu wakajipanga ili kuendeleza inchi yetu biila kufuata mrengo wa chama chochote.ni vyema taasisi za nchi zisijihusishe na biashara au zisitumike kwa manufaa ya watu wengine.
   
 6. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  wapuuzi hao wanahoji wachezaji netiboli, hawajui ipi ni habari kwa wakati huu
   
Loading...