TBC, television mama ya chama cha mapinduzi

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
HAKIKA SIIPENDI SAIZI HII TELEVIOSION INAYOITWA TBC,HATA KAMA NAILIPIA KODI KWA SABABU BADALA YA KUJADILI KUONYESHA MASLAHI WATANZANIA WAO WAKO BUSY NA MASLAHI YA CHAMA TAWALA,HAKIKA NAMKUMBUKA SANA MH.TIDO MUHANDO KWA JINSI ALIVYOLIBADILISHA SHIRIKA HILI LAKINI SASA LIMERUDI PALEPALE ALIPOLIKUTA TvT,KUNAPOKUWA NA MJADALA MZITO WAO WANAWEKA MATANGAZO AU WANASEMA,KUNATATIZO LA KIUFUNDI LAKINI KWENYE MAKALA ZA JK NA CCM HUONI TATIZO LA KIUFUNDI,MNAJUVUNJIA HESHMA SAFU NZIMA YA UONGOZI HAPO TBC NI UPUUZI TU MNAUFANYA,HAYA ENDELEENI KUFANYA KAZI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI WAKATI KODI TUNALIPA WOTE...........................
 
Mkuu hivi mpaka leo bado unaangalia hiyo channel mbona tushaifunga na kuindoa kwenye decorder zetu
 
TBC ni chombo cha serikali ya chama cha mapinduzi. Huwezi kutenganisha chama tawala na serikali.
 
Umesahau yaliyomkuta Todo Mhando? Si aliondolewa kwa kukiuka mari ya Makamba kuhusu midahalo wakati wa uchaguzi 2010. Ukiwa mwana CCM utaangalia TBC. Kama sio it is just hogwash!
 
Sasa nasri sio kweli huiwezi kitenganisha tbc na ccm inawezekana mbona kenya wanaweza kuitenganisha kbc na chama tawala na srikali?they are always saying for the interest of kenyans sio chama tawala hakika inakera sana yapo mambo lazima waangalie maslahi ya serikali lakini sio yote,wakati wa vita ya israel na palestina waingereza waliandamana kwa sababu bbc ilkuwa haionyeshi yanayoendelea mashariki ya kati wakati mambo mngne mengi wanatoa live coverage,lakini uhuru wa kupata habari si ni wakikatiba mh.nasri vipi tena wanatupahabari za upande mmoja?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom