TBC: Speaker Job Ndugai in This Week in Perspective

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,433
Reaction score
139,507
Spika wa Bunge Job Ndugai anaonyeshwa sasa TBC 1 katika kipindi cha This Week in Perspective. Hiki ni kipindi kinachotumia lugha ya Kingreza na huongozwa na Ndugu Simbeye. Katika kipindi cha leo anahojiwa juu ya tathmini yake katika bunge la sasa.
Kipindi kinaendelea......Ndugai anaongelea jinsi alivyounganisha bunge hili lenye wabunge wa UKAWA na wa vyama vingine, anaeleza kwa Kingreza. endelea Kutazama
 
Fungulieni TBC 1 kufatlia mjadala mkali na spika .kipindi cha this week in perspective
 
Spika wa Bunge Job Ndugai anaonyeshwa sasa TBC 1 katika kipindi cha This Week in Perspective. Hiki ni kipindi kinachotumia lugha ya Kingreza na huongozwa na Ndugu Simbeye. Katika kipindi cha leo anahojiwa juu ya tathmini yake katika bunge la sasa.
Kipindi kinaendelea......Ndugai anaongelea jinsi alivyounganisha bunge hili lenye wabunge wa UKAWA na wa vyama vingine, anaeleza kwa Kingreza. endelea Kutazama
Asante mkuu, tuko pamoja
 
Safi sana kwa sisi wafatiliaji na tunaojua kiingereza
 
Mkuu,kwanini wasitumie Kiswahili?Mwenye Nyumba Anatumia Kiswahili,ni Kwanini wa Chini Yake Wasikitumia!
Unakifahamu hiki kipindi? Kinaitwa This week in perspective... Ni cha kingereza
 
Kuna Shida?

Shida ni kwamba kipindi hicho huandaliwa kwa lugha ya Kiingereza ,, hivyo basi hakiwezi kubadilishwa kwa siku moja au mbili kwa sababu Fulani..ni lazima kuwe na consistency...halafu kipindi hicho kina 'targets' Fulani, wanaofahamu kiingereza (wakiwemo wananchi), labda pia na vyuo, labda na watu wa nje, labda mabalozi, labda 'wasomi' (na wanaofahamu kiingereza, na kadhalika na kadhalika...yaani kimsingi kila kipindi huandaliwa kwa kuzingatia 'audience' inayolengwa...Kwa hiyo suala la nani ameamua Kiswahili kitumike katika masuala ya kitaifa kwenye mikutano mbalimbali ya kimataifa hainigiliani au kuhusisha kipindi hicho... Lakini haya ni maoni yangu tu... Hivi sasa nakiangalia kipindi hiki, Spika anaeleza vizuri sana kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge na hasa kuhusu session mbili zilizopita na masuala ya Bunge kwa ujumla wake...
 
Hii lugha matata sana, Ndugai katulia anaongea kwa tahadhari sana, hatikisiki no swagz, unyenyekevu mwingi, msikivu sana.Huwezi amini kama huyu ndiye aliyemtandika mtu rungu wakati wa kampeni mpaka akazimia. Sina hakika kama katulizwa na lugha ama vipi.
 
Tutafuta hiki kipindi....kiingereza!!!!
 
Spika wa Bunge Job Ndugai anaonyeshwa sasa TBC 1 katika kipindi cha This Week in Perspective. Hiki ni kipindi kinachotumia lugha ya Kingreza na huongozwa na Ndugu Simbeye. Katika kipindi cha leo anahojiwa juu ya tathmini yake katika bunge la sasa.
Kipindi kinaendelea......Ndugai anaongelea jinsi alivyounganisha bunge hili lenye wabunge wa UKAWA na wa vyama vingine, anaeleza kwa Kingreza. endelea Kutazama
Hakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
 
Dolt
 
Ila Bulahi bado hajaimarika...Tuzidi kumuombea!!

Naona anasema Kamati za Bunge sasa zimepunguza misafara ya watu kwenda safari za nje.Zamani ilikuwa watu 30 wajumbe wa kamati wanakwea pipa,lkn sasa ni wawakilishi wawili au watatu.Japo anasema ni changamoto sbb wabunge wengi na wapya na wanahitaji "exposure" ili wajue dunia na mabunge mengine huko nje yanaendaje.Hivyo uhitaji wa kusafiri upo,japo bajeti inawabana.

Bulahi anasema changamoto kubwa ya bunge la sasa ni "ugeni" mpya wa wabunge,mfano karibu 95% toka Znz ni wapya,hii ni changamoto hivyo Spika unatakiwa kuwa makini sana kuwaongoza watu ambao wengine wanakuwa wapya,sbb inatakiwa uanze upya ktk kuwaelekeza.Wengine wanakuwa wenyeviti wa Kamati,manaibu waziri na Mawaziri na wakati huohuo ndio mara yao ya kwanza kuingia bungeni.

Anasema wabunge wengi wageni wanalalamika kuwa pesa hakuna kwenye ubunge,waliingia bungeni wakijua kuwa kuna pesa lkn wanashangaa wameingia na wala pesa haitoshi na wanaenda kumuuliza Spika...Mbona mzee hela hatuioni?Tuliambiwa huku kuna pesa lkn hatuoni lolote...
 
Hakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
NNa mbuge wa mtera nae tusimsahau
 
Hakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
Watu walikuwa wanadili vizuri tu sasa unaleta UCCM, hizi akili bana khaaaaa
 
Hii lugha matata sana, Ndugai katulia anaongea kwa tahadhari sana, hatikisiki no swagz, unyenyekevu mwingi, msikivu sana.Huwezi amini kama huyu ndiye aliyemtandika mtu rungu wakati wa kampeni mpaka akazimia. Sina hakika kama katulizwa na lugha ama vipi.

Duh, nimecheka sana....Nani alikuambia kuwa amemtandika mtu rungu...yale yalikuwa ni mambo ya uchaguzi tu na upo uwezekano mkubwa kuwa habari za wakati ule zilikuwa exaggerated kwa lengo la kumchafua...ila nakubaliana na wewe kuwa Spika Ndugai ametulia kweli kweli na anazungumza kwa upole, unyenyekevu na bila wasiwasi...amefafanua issues vizuri, naendelea kumpenda zaidi...
 
Hakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
Sugu yuko vzr dogo kakaa sana mbele kwa taarifa yako.
 
Hii lugha matata sana, Ndugai katulia anaongea kwa tahadhari sana, hatikisiki no swagz, unyenyekevu mwingi, msikivu sana.Huwezi amini kama huyu ndiye aliyemtandika mtu rungu wakati wa kampeni mpaka akazimia. Sina hakika kama katulizwa na lugha ama vipi.
Duh!
 
Back
Top Bottom