O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,396 Aug 7, 2013 #41 Hao wa utabiri sio waajiriwa wa TBCCM.
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,587 Aug 7, 2013 #42 mwaikenda said: Ni kosa la mvaaji c tbc Click to expand... mvaaji ameonekana kupitia tbc na ni mtumish wa tbc,serikal ilishatoa waraka wa mavaz kwa watumish wa UMMA
mwaikenda said: Ni kosa la mvaaji c tbc Click to expand... mvaaji ameonekana kupitia tbc na ni mtumish wa tbc,serikal ilishatoa waraka wa mavaz kwa watumish wa UMMA
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Aug 7, 2013 Thread starter #43 nyie mnaojifanya hamuangalii TBC BUNGE likianza hutaangalia?
M mahakama ya kazi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 1,520 Reaction score 245 Aug 7, 2013 #44 amefanya promo huyo, mwezi unakaribia kwisha huu
I igulwibi Member Joined Mar 21, 2012 Posts 56 Reaction score 9 Aug 8, 2013 #45 Biashara matangazo, nadhani leo akitoka kesho wateja kibaoooo!
I igulwibi Member Joined Mar 21, 2012 Posts 56 Reaction score 9 Aug 8, 2013 #46 Tutafutie jina lake na namba za simu, ili tumlaisishie kazi apate wateja fasta fasta
Inanambo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,063 Reaction score 2,875 Aug 8, 2013 #47 UNgeleta evidence ya Picha kama kweli alikuwa amevaa isivyo. Wadada hawa wa TMA nawakaubali mavazi yao si rahisi wavae nusu uchi kwenye Tv ya Taifa. Labda alivaa brown Body suit ndani ya blauzi nyingine ukashindwa kutambua rangi.
UNgeleta evidence ya Picha kama kweli alikuwa amevaa isivyo. Wadada hawa wa TMA nawakaubali mavazi yao si rahisi wavae nusu uchi kwenye Tv ya Taifa. Labda alivaa brown Body suit ndani ya blauzi nyingine ukashindwa kutambua rangi.