TBC radio zina tatizo?

TBC radio zina tatizo?

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,277
Reaction score
1,121
Binafsi ni msikilizaji mzuri wa TBC taifa, TBC fm, na TBC international. Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata tabu kidogo.

Hizi station zinaingiliana ukiweka TBC international itakuhamisha kwenda TBC fm badae itakuhamisha kwendaTBC taifa sijui kama hili tatizo linajulikana siamini kuwa hili tatizo ni langu pekee.
 
mnaosikiliza TBC ni wachache mno nchi hii,hiyo TV ndiyo kabisaa,zimekaa ki CCM sana hazifai.
 
Duuu!kwa hapa sidhani kama utapata jibu maana wengi hapa ndo kwanza leo tunasikia kitu kama hicho masikioni mwetu!.jaribu kupitia mitaa ya Lumumba kama kuna kisanduku cha maoni,dondosha huko kero yako huenda itashughulikiwa haraka.
 
Back
Top Bottom