TBC punguzeni uzalendo

Presenter alikua nani? Kuna Yule Mzee anakera ana USO mzito kama uji WA magimbi kutwa kutumia neno "mzalendo namba moja" jamaa sio tv material at all anafaa kua producer Tu! Boring kabisa!
 
Lyoba na ujanja/usomi wake wote ndio ubunifu umeishia hapo, daah. Kwa maana nyingine kakubali yaishe yaani, kauza mechi ili mshahara uwe unaingia ila wananchi watajua wenyewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna thread yangu nilishawahi kusema ndani ya Tanzania kuna watu wana roho za Hitler ila tu hawajaipata nafasi.
 
Yani watakosa watazamaji , kwanza taarifa yao ya habari haina mpangilio, mara waanze na ya kitaifa wa mix na michezo then warudi za kimataifa

Wamezidi mno kumsifia rais mpaka inakera,aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo yote ni kutafuta attention iliyopotea ndo maana kwa kudhani watu wengi watavutika na michezo wanachomekea michezo katikati ya Taarifa ya habari ili kuvuta watu waendelee kuangalia. Kwa ujumla hata watangazaji wanajua watanzania hawavutiwi na kinachoendelea TBC lakini wafanyeje wakati wanaendesha vipindi kwa maagizo toka juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Presenter alikua nani? Kuna Yule Mzee anakera ana USO mzito kama uji WA magimbi kutwa kutumia neno "mzalendo namba moja" jamaa sio tv material at all anafaa kua producer Tu! Boring kabisa!
[emoji23] presenter alikua kijana fulani ila ana upaa .mweupe kidogo

Ila sure presenter wa pale wanaboa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko zangu na Nat Geo na maisha magic na tb joshua ndo channels naangalia sijui tbc ningekua na uwezo naiblock kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha magic channel ya juzi tu ila ni nzuri kuliko hii TBC
Ila nasikia tatizo halijaanza miaka hii, toka enzi za mchonga,alikataa kununua coloured technology yaani tbc wakawa kwenye black and white, karume akanunua zanzibar kule watu wakawa wanaona picha za rangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa hadi akiondoka nchi itakua kubaya sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ile Riwaya ya Mfalme Juha bado ipo. Ingekua vyema kuifananisha na nchi hii kuliko kumfananisha Kofi Annan na jiwe[emoji19][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…