....hahahaha!
hommie avata uyiweenee?....utudaho tula lol!
mmh ngoja tuwaache kwanza mmbonge kinyumbani, mie namsubiri shosti wangu bm kwa maelezo zaidi ya hii sred yake. Ngoja aamke!!!!!!!!!
Bht shosti!....Geoff ni wa kunyumba kule kule yaani Wanging'ombe miye nakata kulia yeye kushoto!.....and we are on Mission rightnow stay tuned!...
Bht shosti!....Geoff ni wa kunyumba kule kule yaani Wanging'ombe miye nakata kulia yeye kushoto!.....and we are on Mission rightnow stay tuned!...
Mh! Kaazi Kweli kweli
Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo....
sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo emeonekana kijijini kwao mzima wa afya tele na amehojiwa na vyombo vyahabari na anasema kuwa amekuja duniani kumzika baba yake na ndiyo na yeye arudi huko alikokuwa.
Isn't it strange?....watu wameenda kwenye kaburi lake na wamekuta wala halijabomolewa na kuna mtu ametoa ushahidi kuwa gari la Nickson ndiyo lilibeba maiti ya baba yake....inshallah mungu tunusuru nadhani huuu ni mwisho wa dunia unakaribia...i think ile issue ya sodoma na gomora sasa ndiyo wakati wake...how come mtu amekufa alafu anarudi akiwa hai eti kaja kumzika dadiye!.....
Kuna watu wana moyo hata wa kumuhojimiye ningekimbia....(Marathon)
upuuzi mtupu tatizo kanda hiyo ya Iringa-mbeya rukwa-kigoma-shinyanga-mwanza ni mawazo ya uchawi tu......ndo maana waafrika hatuendelei. Mbona hizi stori kama za mama rwakatare sijawahi kuzisikia ulaya na marekani???? Au china na japan?????
Naungana na wewe kabisa mkuu,kwa upande mwingine Serekali ingeweza kuprove kwa jamii suala kama hili kwa kulifanyia uchunguzi wa kisayansi kwa kutumia wataalamu wetu tulionao kwakuwa jamii ingependa sana kujua ukweli wa suala hili,hii itakuwa ni pamoja na kuielimisha jamii how to judge issue za kimazingira au uzushi unaotokea mara kwa mara na kuishia bila jibu. Ni Suala muhimu sana kwa serekali lakini litapuuzwa au kuchukuliwa kijuujuu...Binti Maringo,
huyu kijana alikuwa hajafa na alihojiwa na BBC akasema hajawahi kufa bali alikuwa porini akichanja mbao. Na ameamua kuja nyumbani kwa sababu kila sikua amekuwa akiota ndoto kwamba baba yake amekufa. Hakuna swala la kufufuka hapa. Watu wakitaka kuhakikisha kwamba aliyezikwa ni yeye au siye basi wafukuwe kaburi wapime DNA ya maiti na DNA ya huyu aliyekuja. Pia wachukue nguo zake kabla hajafa wafanyie pia DNA, hiyo itakuwa scientific proof na itaacha speculation. as it is now, watu walizika maiti siyokuwa yao.
Uhavi usukuli kabisa mbona si waiwoneka?Magezi wabonaki!...asikudanganye mtu anni kamwambia hivi vitu vya uchawi havipo ulaya?....olooo hata wazungu wanahusudisha hivi why wanasoma palm reader?....
TWIVANOFU HELA BWANA!...yuuve?!...😀G na NEXT LEVEL mnogage......mgendelage uludodi.
...hehehehehe!...yaani MWALIIVE EE HUYU!...mh!leke ndikatuke...YAp! ndituwene twiwoneka tusasamu uhulo!
hahaha!...be muswamuuve...?!pedee ye usemilwee na i ng'ani dsa hukaye...?!....apo homeboi wi-kosea saanaaindzhi habari ngomi swe nye vayangu hahahahahah! nimesahau sha hunyumba. Hizi ni habari za kufikirika hakuna kitu kama hiki
hehehe!hahahahaha!....Mnyalu penye mimi na reserve my comment!
....pedee twe vayago twiaprreciate hela!....kama tudaho twakho kweli basi hongera!...tunofu sana yani.!hahahahahHahahahaha Geoff,Pakawa,Masikini Jeuri and Fidel80......You all are my brothers you know hahahaha and then you all talk about madaho yangu!..Navalonge swela ela!...Mad love though!...
hapa waswahili hawataelewa...!😀Bht shosti!....Geoff ni wa kunyumba kule kule yaani Wanging'ombe miye nakata kulia yeye kushoto!.....and we are on Mission rightnow stay tuned!...
halafu wewe mimi nakufahamu sana...!hadi kijijini kwako kule iringa!..Mh! Kaazi Kweli kweli
well,nilitegemea hilimh....