Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
hapa hamna great sinka kabisaaaaaaaaaa!sitakomment chochote..😀upuuzi mtupu tatizo kanda hiyo ya Iringa-mbeya rukwa-kigoma-shinyanga-mwanza ni mawazo ya uchawi tu......ndo maana waafrika hatuendelei. Mbona hizi stori kama za mama rwakatare sijawahi kuzisikia ulaya na marekani???? Au china na japan?????