TBC na vipindi vya Kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC na vipindi vya Kiswahili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Boss, Jul 27, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hawa tbc one siwaelewi kwa hili...

  wameongeza kipindi kingine cha lugha ya kiswahili

  sasa tofauti ya hivi vipindi viwili mimi siioni
  halafu vipindi vyote haviko interactive....
  yaani huwezi changia moja kwa moja
  kipindi eti mpaka uandike barua....

  hivi hawa watu wapo serious????????
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ...........................................
   
Loading...