MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
..............baada ya ule mchakato, mchakato majimboni, ulee uliomtoa TIDO, yule mkurugenzi mahiri,(sifa zake hata kama wengine itawachefua) TBC haina mvuto tena, hata wanaoitazama, wanatazama kwa mazoea tu, imejaa kong'ota (wachumia tumbo) hamna mbayuwayu tena, wale wanaochanganya na za kwao, akili zao. watz sio wale wa jana wanachokifanya tunakiona, tunalinganisha na tv zingine, then tunajiridhisha ni uchuro, kodi zetu zinatumika sivyo.......mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote kuhusu hawa CHADEMA. Mbona jambo lolote kuhusu sie CCM linachukua hata zaidi 1.5?.Mnakera watanzania na kodi zao.Jirekebisheni kwa hili ili mkubalike kama mwazo. always it is not fair news on side of CHADEMA
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote kuhusu hawa CHADEMA. Mbona jambo lolote kuhusu sie CCM linachukua hata zaidi 1.5?.Mnakera watanzania na kodi zao.Jirekebisheni kwa hili ili mkubalike kama mwazo. always it is not fair news on side of CHADEMA
malumbano sio mazuri...............jitahidi kujenga hojaKwa akili yako ulitaka TBC watoe habari za mbunge mpuuzi wa Arusha!
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote kuhusu hawa CHADEMA. Mbona jambo lolote kuhusu sie CCM linachukua hata zaidi 1.5?.Mnakera watanzania na kodi zao.Jirekebisheni kwa hili ili mkubalike kama mwazo. always it is not fair news on side of CHADEMA
Kwa akili yako ulitaka TBC watoe habari za mbunge mpuuzi wa Arusha!
Ovyo! Jina lako la jmf linaonesha wewe fisadiKwa akili yako ulitaka TBC watoe habari za mbunge mpuuzi wa Arusha!
Msikasahau hako kanakojiita Amina Molel,magazeti yote yanayoiponda CCM hakayasomi hasa zile heading kananiudhi na kakichwa kake kama fenesi.
Bila shaka huwa mnafanya tathmini ya mipango yenu na kuona ni kwa kiasi gani mnafanikiwa, matharani katika mpango wenu huu wa kuviita vyama matawi ya CCM. Kuna mafanikio mliyoyapata ndio maana mnadumisha mpango, au malengo hayajatimia?Kuna...
- CCM aka Magamba
- CUF aka CCM B
- NCCR Mageuzi aka CCM C
- and then TBC1 aka CCM D or TBCCM1
kale si kachumia tumbo na kakichwa kama fenesiMsikasahau hako kanakojiita Amina Molel,magazeti yote yanayoiponda CCM hakayasomi hasa zile heading kananiudhi na kakichwa kake kama fenesi.