Si kila anayekosoa ni mfuasi wa mwendazake, wapo wengi hatukufurahishwa na wakati ule vipinndi vya tbc vya kusifia na bado hatufurahishwi na vipindi vya Sasa vya kusifia...wa legacy sasa hivi mnaanza kukereka na vipindi vya TBC!? Angalieni tu kama kipindi kile cha Mwendazake.
Hawa jamaa wanakula kodi zetu ila mambo yao ya hovyo. Chama kimeshika hatamu. Waje na ubunifu. Nchi inahitaji kusonga mbele. Walete CEO au wajasiriamali wanaoweza ku inspire.Angalia chanell nyingine mkuu usije kupata ugonjwa wa moyo
Bahati mbaya ujinga huu umekuwepo muda mrefu. Halafu na sisi ni km tumepigwa ganzi. Hizi TV huwa wanafanya survey kweli? Wamekaza shule, hospitali inazinduliwa....wa legacy sasa hivi mnaanza kukereka na vipindi vya TBC!? Angalieni tu kama kipindi kile cha Mwendazake.
Including walipa kodiTelevisheni ya taifa... so technically ni televisheni ya serikali. You dont bite the hand that feeds you
Hahahahaha mkuu nenda pub chukua nyagi kubwa !Nampongeza rais mama Samia kwa kuniwezesha kumpa mimba mwanafunzi
Yaani lile zee ujue ni dizain kama ya Musiba sipiriani jitu lilikua linampamba Mwenda zake mpaka noma sasa hivi limerudi kivingine kifupi TBC japo hatuwezi kuwapangia la kufanya lakini mnaboa mno hamuwezi kutwa nzima habari za Mama ooh anaupiga mwingi mara sijui nn lakini ukweli mnaujua kabisa huku mtaani kinaendelea nini muwe mnakua wawazi Haturidhishwi na mwenendo wenu na binafsi nawatizama pale tu ninapokuwa nimeishiwa kifurushi TBC ni upuuzi mtupu namalizia kwa kusema hivyoWakati wa Magu kulikuwa mtangazaji mmoja na kipindi chake cha 'Mzalendo namba moja John Joseph Pombe Magufuli kila siku achilia mbali vipindi vya 'Kishindo cha Awamu ya Tano'
Ayubu ni chawa numero uno
Hapo bado ndugu....subiri kipindi cha uchaguzi mkuu ndio utajua hujuiTanzania yapo matatizo mengi ambayo yanahitaji uhamasishaji na vichochezi ili wananchi wachangamkie fursa au waweze kutoka katika hali husika.
TBC licha ya kuwa wanatumia fedha za walipa kodi, hawatengezi vipindi vyenye muelekeo wa kuhamasisha vijana au kutatua kero zilizopo.
Ukifuatilia vipindi vyote, utaona vina dhima moja tu, pongezi kwa mama, tozo na blah blah nyingine.
Hivi hakuna ubunifu?
Hawa TBC wamewahi kufanya tathmini na kujiuliza kama wanasonga mbele au kurudi nyuma? Idadi ya watazamaji imeongezeka?
Kuna makosa mengi madogo madogo kwenye taarifa zao. Mf. No caption za kuwatambua wanaozungumza etc.
Huwezi kuwa na kituo chenye maudhui moja tu ya mama Samia.
Wote wanaohojiwa juu ya kitu fulani, utasikia tunampongeza mama Samia. Oh.
Sie vyema kuwaambia wananchi waseme nini.
Lakini dhana ya vipindi na pongezi za hivi, ni ya hovyo.
Huu ni mkakati wa ujinga. Ukiangalia DG wao na huo ubunifu wake. Wangekuwa hata na ubunifu kwenye mambo mengine. Sio jambo moja. Hivi audience ndio wanachotaka kwao? Otherwise, watatumia rasilimali nyingi na tija hakuna.Wakati wa mwendazake walikuwa na kipindi chake ...kilikuapia kinaimba mapambio ya kumfurahisha mwendazake