Ukiiga kitu halafu ukakifanya vizuri sana na hata kikawa zaidi ya aliyeanzisha unaweza usilaumiwe. Nani ameiga mwenzake hapa: Opra Winfrey show, Jerry Springer Show, Tyra Banks, Queen Latifa etc? Suala ni viwango. Iga, boresha. Tatizo letu tunaiga hata ulaya halafu tunafanya hovyo hovyo tukijitetea uzalendo. Endeleeni na uzalendo wenu, mimi ukitengeneza simu halafu ikawa mbaya nanunua ya jirani, iwe Kenya, Uganda, Burundi poa, kikubwa viwango.