TBC Na Kuiga Vipindi (HUKU NDO KWETU kutoka USWAZI cha EATV)

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Wandugu!
Nimekuwa nikiangalia TV stations za hapa nyumbani kwa kiasi wanajitahidi (ukiondoa TBC) ambao kwao ubunifu nafikiri si ishu kudhirisha hili hebu tizama kipindi hiki kipya cha HUKU NDO KWETU utagundua wameiga kila kitu toka kwa kipindi cha usawzi CHA eatv..MTANGAZAJI MWENYEWE hajui chochote anaboa kwa ujumla. Nashauri TBC mbuni kitu chenu tofauti kidogo na wenzenu.
Frank
 
Ukiiga kitu halafu ukakifanya vizuri sana na hata kikawa zaidi ya aliyeanzisha unaweza usilaumiwe. Nani ameiga mwenzake hapa: Opra Winfrey show, Jerry Springer Show, Tyra Banks, Queen Latifa etc? Suala ni viwango. Iga, boresha. Tatizo letu tunaiga hata ulaya halafu tunafanya hovyo hovyo tukijitetea uzalendo. Endeleeni na uzalendo wenu, mimi ukitengeneza simu halafu ikawa mbaya nanunua ya jirani, iwe Kenya, Uganda, Burundi poa, kikubwa viwango.
 
TBC hebu badilikeni basi aisee. Ajirini basi hata vijana wabunifu kidogo. Maana duuh ni wazee wamejaa ubunifu utatoka wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom