TBC NA JWTZ ...ANGALIA SASA HIVI...!.now on air

Mkuu . . . kwani Tarehe 1-9 kila mwaka si kuna kumbukumbu fulani ya Jeshi? Acha ile siku ya Mashujaa iliyobadilishwa.
 
Not interested at all...........wakati wakorea na wachina wakilingia maendeleo makubwa ya technolojia na mapinduzi ya viwanda vya kisasa sisi tunafurahia kuona wanajeshi wetu wakidondosha sori za viatu kwenye gwaride!!
 
Yah, ni very interesting kwa kweli but dontyou see that hiyo ni sehemu ya kampeni kwa majeshi yetu? Mambo ya ajabu sana. Kwni hujasikia vijana wetu wanaimba ule wimbo maarufu wa TUNA IMANI NA KIKWETE? Nini maana yake?
 
Kesho tunamwekea pingamizi kwa kuwatishia Wa-danganyika wakati wa campaign... Yaani bibi (Nyanya) yangu ameogopa sana...
 
Dah,huo msisitizo?!! mie nilidhani JWTZ wamevamia TBC.KAZI IPO.NGOJA NIENDELEE NA KAZI ZANGU......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom