tbc na clouds

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,510
7,541
wadau naomba kuuliza hivi kuna uhusiano gani kati ya hivi vituo kwani naona baadhi ya watangazaji wa clouds wakitangaza tbc1?
 
wadau naomba kuuliza hivi kuna uhusiano gani kati ya hivi vituo kwani naona baadhi ya watangazaji wa clouds wakitangaza tbc1?

mkuu,ushawahi kubeba box??inshort asubuhi unapiga clouds jioni unapiga box tbc1 ili kuinua kipato chako.
 
Unajua ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini, mimi sioni kwa nini Mgaya na Mkoba wasionyeshe njia kwa kuwafungulia kesi mahakamani tuone sasa kama Clouds kama kampuni itakuabali kuingia garama za mawakili kwa upumbavu wa kibonde na Habash, useless people hujui hata kama ni vijana ama wazee maana wamechoka kuliko wale wazee wa kikwete waliokuwa waki oyee pale diamond. Angalia sura zako mipauko
 
wadau naomba kuuliza hivi kuna uhusiano gani kati ya hivi vituo kwani naona baadhi ya watangazaji wa clouds wakitangaza tbc1?

juzi nilikuwa na wadau wa zain wanampango wa kubadilisha lile tangazo wanadai kuwa watu wengi wanalalamika kibonde kuwa kwenye hilo tangazo wakidai anaboa na mnafiki
 
Back
Top Bottom