hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,245
- 8,533
Kuna mambo hiki chombo chetu cha habari kinafanya kwa kweli kinavunja moyo sana
Leo kuna swala la kimbunga huko Mtwara, serikali ya mkoa mpaka imetangaza leo watu wasiende makazini, na vyombo vikubwa vya kimataifa vyote vinaongelea swala hilo hilo la kimbunga
Cha ajabu sasa naangalia taarifa Dira ya mchana sijaona taarifa yoyote ikisema swala hilo zaidi ya taarifa za mikoa mingine
Kwa maoni yangu nilidhani hii ilipaswa kuwa taarifa ya Kwanza au hata pale chini kuwe na maandishi yanatembea ambayo yanatoa update ya mambo yanayovyokwenda