TBC mnatupeleka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC mnatupeleka wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Acha Dhambi, Nov 7, 2011.

 1. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  TBC kuwa live kuonyesha jinsi kodi zetu zinavyoliwa ktk hafla ya mtoto wa malkia ni sawa? Tena juzi tu waziri mkuu wa alikotoka mtoto huyu walisema watasitisha misaada kama hatutaruhusu ushoga na kufuta sheria kali zinazokataza ushoga Raisi alifurahishwa na kauli ile mpaka leo ale na huyu mtoto? Na hawa TBC HAWANA VIPINDI? MPAKA KUONYESHA HII KITU LIVE WATANZANIA TUTAFAKALI NA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huyo ndiye JK mkuu, tena usishangae kuja kusikia amesaini na huo mkataba wa haki za mashoga! Wanajilia kodi zetu kwa raha zao!
   
Loading...