MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,443
Kinachomsumbua huyo Prof ni hiyo rank ya shule kwani anaona fedheha kuonekana Prof ameshindwa, na hii ni hulka ya wasomi wengi kutokubali kwamba wamefanya makosa.Jamaa wanamwaga PESA kila mahali kumlinda Muhongo jamaa anaonesha yupo tayari kufa kiafisa na tai shingoni....
Kuna gazeti linaitwa TAZAMA,nalo sijui lina ubia gani na Muongo,hata kabla ya escrow limekuwa mstari wa mbele kumpaisha jamaa.
Sijui ndio presidential material wa kulinda maslahi ya Msoga huyu?maana anapaishwa kweli.
Hivi TBC Kama chombo cha umma kujaribu kumpigia debe Muhongo "eti wananchi wa Lindi wamepeleka ombi maalum kwa JK" ni sawa?
Naomba TBC wajue Kuwa wananchi hawako Lindi tu hata Dsm kuna watanzania, Moro kuna watanzania, Mbeya na kwingineko kote kuna watanzania na wengi wetu tunaunga mkono maazimio ya bunge!
Hakuna maana yoyote kwa chombo cha umma kumtetea mtu mmoja mtuhumiwa wa kutumia vibaya madaraka.
Wacha wa balance Mbona ITV kutwa kumchafua
Wananchi hatuna mamlakana ITV. Tunataka kodi zetu zitumike vizuri pale TBC