swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,467
Nilitegemea jambo kubwa na msingi wa mahojiano ya mh. Simbachawene na Marine iwe jinsi elimu inavyoporomoka hasa ukizingatia matokeo ya kidato cha nne(hot issues) na pia hakuna jambo linaloweza kwenda bila elimu bora.
Jambo la msingi alilozungumzia kidogo ni umeya wa dar lakini kimsingi Marine huwezi kufanya mahojiano hasa wanapokuwepo viongozi ambao tunategemea wakidhi haja za wananchi.
UNAFIKI WA VIONGOZI
Mh.Simbachawene anasema kupiga marufuku safari za nje za rais zimeokoa Tshs 4bl mpaka sasa.Lakini huyo huyo ni kati ya viongozi waliopongeza safari za nje za Jk na kusema zinatija ila leo anasema tumeokoa pesa kumbe tulikuwa tunapoteza? Je ni kiongozi gani mpya ktk serikali hii ambae tunaweza kuaema hakupongeza Safari za Jk?
Nauona Unafiki mkuu kwa viongozi wetu.