Tbc leteni maandamano ya cdm mbeya

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
3,153
697
Tunasikitishwa na upendeleo wenu wa wazi mno kwa matukio ya CCM, sisi tunalipa kodi, leo kama hamtakwenda mbeya mtachukuliwa hatua za kisheria. Kwanza kiwango chenu cha habari kimeshuka sana, hamna mvuto. Hii ya Mbeya ndio nafasi yenu. Hamjui CDM itaja chukua nchi, mtakimbilia wapi. Kueni neutral.:caked::phone:
 
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live
 
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie

Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live

Posho ipi wanapewa waandamanaji?tupe ushahidi juu ya hilo uliloliandika isije ikawa ni hisia zako au ushabiki wako.Chombo chochote cha habari kikipendelea upande mmoja ni tatizo na hakitakuwa kinafuata misingi ya vyombo vya habari-Kutoa habari bila upendeleo wowote.Kama umetumwa na chama cha magamba waambie JF hakuna majungu humu
 
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live

a
A NAKED MIND FROM A NAKED MAN
YOUR AVATAR SPEAKS IT ALL
 
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live
Lakini Kumbuka jumatano walitoa taarifa ya wale wazee wa chama cha magamba Rukwa wakiandamana kumpongeza Raisi au huo haukuwa muda wa kazi sema ni wabaguzi na bora wasituonyeshe kwa sababu hata wakionyesha wataonyesha matawi ya miti na mima mbeya,wapo wazalendo bwana Channel Ten,Star TV na ITV watatupasha habari na kufuta kiu ya wananchi ya kupata habari zinazohusu jamii
 
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live

unajua hapa si mahala ambapo watoto wanacheza kidalipoo....ukiwa ni mtu mzima unaweza kusema maneno ya BLUE kwa ufasaha ili ueleweke kwa wanajamvi. unaweza kuwa na ushaidi wowote?
 
Kama chanel kumi hawajaonyesha sembuse hili dubwana liitwalo tbc? Vyombo vyote vya habari vimetekwa isipokuwa jf tu!
 
Isingekuwa JF tusingekuwa tunapata habari za CDM,maana vyombo vingine havina habari na CDM wabane waachie mambo yanakwenda tu.
 
Back
Top Bottom